2 Timothy 3:15-17

15 ana jinsi ambavyo tangu utoto umeyajua Maandiko matakatifu, ambayo yanaweza kukuhekimisha upate wokovu kwa njia ya imani katika Al-Masihi Isa. 16 bKila Andiko limevuviwa na Mungu na lafaa kwa mafundisho, kwa kuwaonya watu makosa yao, kwa kuwaongoza na kwa kuwafundisha katika haki, 17 cili mtu wa Mungu awe amekamilishwa, apate kutenda kila kazi njema.
Copyright information for SwhKC